• rushwa
  • rushwanchi
  • bootstrap carousel
  • tbrushwa
1 2 3 4

Karibu Rushwa.net, mtandao unaokusanya taarifa za matukio ya rushwa katika sekta mbalimbali na kuhifadhi taarifa hizo, kuzitolea twakimu, kuziweka tayari pale vyombo husika vinapohitaji. Taarifa hizi zitasaidia katika uchunguzi wa matukio ya rushwa. Angalizo Taarifa hizi haziwezi kutumika moja kwa moja kumhukumu mtu.

Welcome to Rushwa.net, the network that collect information about corruption incidents in different sectors and store that information, publish statistics, make data ready when proper authority needs them. The collected information can help in investigating the corruption incidents. Please note, the information reported here cannot be used directly to prosecute someone.